Uchaguzi CWT hadharani
Na Mwandishi wetu,
Chama cha walimu Tanzania (CWT) kimetangaza kufanyika kwa mkutano mkuu wa chama hicho tarehe 28 na 29 mwezi mei mwaka huu mkutano ambao pamoja na mambo mengine utahusisha uchaguzi wa viongozi wa kitaifa
Taarifa kutoka ofisi ya katibu mkuu wa chama hicho mwalimu Joseph misalaba ambaye kwa sasa anakaimu nafasi hiyo imeeleza kuwa mkutano huo wa saba unafanyika baada ya chama hicho kukamilisha chaguzi za ngazi za chini ambazo ni ngazi ya shule, ngazi ya wilaya na mkoa ambapo hivi sasa wanaelekea kwenye ngazi ya Taifa.
Taarifa hiyo iliyosasainiwa na Afisa habari na mahusiano wa chama hicho inazitaja nafasi zinazotarajia kugombewa kuwa ni rais wa chama, makamu wa rais wa chama, katibu mkuu, naibu katibu mkuu na mweka hazina wa chama hicho
Nafasi nyingine ni mwakilishi wa walimu wanawake, mwakilishi walimu walemavu, mwakilishi walimu vijana na wadhamini wa chama.
WAGOMBEA NAFASI YA RAIS CWT
1. BARUA A MWALIMU - TANGA
2. CHAKUPEWA SANI JOHN - DODOMA
3. IKOMBA MATHEW SULEIMAN - TEMEKE
4. JULIUS HAMZA SHANGWELI - ARUSHA
5. KASIMBA ERNEST ROBERT - KIGOMA
6. KONDOWE L. EMMANUEL - MALINYI
7. MAHENGA HASSANI HAMISI - KILOSA
8. MALINGA HAMIS ALLY - SONGWE
9. MLOBI EMMANUEL STEPHEN - MAFIA
10. MUDUI JEREMIAH CHARLES - NGARA
11. MUNYIMBEGU KHAMACK RAJABU - CHAMWINO
12. MUSSA KALELANDA ISMAILI - DODOMA JIJI
13. MUTUNGI HAMZA NGAMERA - KAHAMA
14. NDOMBA SEBASTIAN JAMES - DODOMA
15. NDONYALO FLORIAN GODHARD - RUNGWE
16. NYATEGA KOMOYA ROSE - ILEMELA
17. TWAMBO DAVID TUMAINI - KALIUA
18. ULAYA L. LEAH - TABORA MANISPAA
WAGOMBEA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS CWT
1. BAKUZA DAVID DENNIS - BABATI
2. BANDA MRATI JUMA - ILALA
3. GABRIEL NYANGA PETRO - UBUNGO
4. KAJUNI ENOCK NELUSIGWE - MBEYA
5. KANJI ABDALA HASSAN - KIBAHA
6. KINGWALA A. TATU - KIBAHA
7. LIPUKILA MBENA SABINA TUNDURU
8. MAHEWA PHILIPO LAMECK - KWIMBA
9. MALINGISHI BUJILIMA SELEMAN - GEITA
10. MOHAMED RUMANYIKA MSWADIKU - KIBITI
11. MSHANA ABBAS AZIZA - MOSHI DC
12. MTEMBO YUSUFU BAKARI - DODOMA JIJI
13. MTUNDUA S. HAMISI - SINGIDA
14. MWABUNGULU AMBINDWILE SHABAN - NJOMBE
15. PANDISHA KAROLO ROBERT - RUNGWE
16. SANE SETH LAZARO - MONDULI
17. TARIMO VICTORY JAMES - MULEBA
18. TUNG’OMBE JOHN - SUMBAWANGA
19. YAHEWA S. JOEL - LINDI MC
WAGOMBEA NAFASI YA KATIBU MKUU CWT
1 BENJAMIN RUTALEMWA JESTON - MVOMERO
2. BUKURU JACKSON ABIHUDI - KASULU
3. KEHA EDWIN SIMON - DODOMA
4. MISALABA MASOLWA JOSEPH - DODOMA JIJI
WAGOMBEA NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU - CWT
1. ALEXANDER KUSAGA ALFRED - CWT HQ
2. HAMISI MUSSA YUSUPH - KILWA
3. KAMWELA DAUD ABRAHAM - (M) -DSM
4. KIYOLA EDWARD MAHANYA - CWT HQ
5. MAGADULLA ADAM WILSON - KAHAMA
6. MAGESA PROTAS MAGESA - BUHIGWE
7. MAHELELA ELIAB AIDAM - NANYUMBU
8. MNYANYI EGIDY FELIX - NJOMBE
9. MSANGA ZEPHANIA AMANI - NGARA
10. NGASA LILIAN NYANGETA - BUTIAMA
11. NGONYANI YUSUFU LUYA - RUKWA
12. NYAKORE OMORO YOHANA - MWANZA
13. PETER KASASE AUGUSTINE - NYAMAGANA
14. PROSPER MWEMEZI ADRIAN - MEATU
15. RWIZA FREDNAND GODFREY - SERENGETI
Reviewed by Gude Media
on
May 22, 2025
Rating:














