Rais Dk. Samia azindua Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na Nyumba za Makazi ya Majaji mkoani Dodoma, Aprili 5, 2025.
![]() |
Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, jijini Dodoma. |
Rais Dk. Samia azindua Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania
Reviewed by Gude Media
on
April 05, 2025
Rating:
