Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Tuzo za Mlipakodi Bora wa mwaka 2023/24 kwa wafanyabiashara wanaomiliki kampuni mbalimbali katika hafla iliyofanyika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.