Balozi wa Vijana Afrika Mashariki (EAC), Jessica Mshana, ametaja 25 bora za mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan yanayodhihirisha dhamira yake ya kuifanya Tanzania kuwa taifa lenye ustawi, usawa na maendeleo endelevu.
Akiainisha maendeleo hayo, Balozi Jessica, amesema uongozi wake wa maono unaendelea kuhamasisha matumaini na kujenga msingi thabiti wa maendeleo ya taifa.
Jessica ametaja maendeleo hayo ni "1.Maendeleoe ya miundombinu , 2. Diplomasia ya Uchumi,3. Miradi ya Nishati, 4. Uwezeshaji wa Wanawake, 5. Maboresho ya Elimu,6. Uwekezaji katika Afya, 6. Uwekezaji katika Afya, 7. Kukabiliana na COVID-19.
8. Mabadiliko ya Kidijitali, 9. Maendeleo ya Kilimo, 10. Upanuzi wa Barabara, 11. Uwekezaji katika Viwanda, 12. Uwezeshaji wa Vijana, 13. Kuendeleza Utalii, 14. Uhifadhi wa Mazingira, 15. Ushirikiano wa Kikanda.
"16. Miradi ya Maji, Ziwa Victoria Water Project.17. Mageuzi ya Kodi, 18. Kupambana na Rushwa, 19. Uboreshaji wa Bandari, 20. Ujumuishaji wa Kifedha, 21. Kuendeleza Utamaduni, 22. Nishati Jadidifu, 23. Nyumba za Bei Nafuu, 24. Kukua kwa Sekta Binafsi, 25. Uongozi wa Kimataifa", amesema.
Pia Jessica amesema kuendelea kumuunga mkono kwa kueleza mema yote yaliyofanywa na Rais Dk.Samia.