Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, akizungumza na umati wa wananchi wakati wa mkutano wa hadhara, katika viwanja vya Tanganyika Pakers, Dar es Salaam. |
Wananchi wakifurahia mkutano huo. |
Umati wa Wananchi wakimshangilia Chongolo wakati wa mkutano huo. |
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakifuatilia mkutano huo. |