RAIS DK. SAMIA ANOGESHA TAMASHA LA SIMBA DAY

 Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan  mgeni Rasmi Tamasha la Simba Day 2023 lililofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.