TAASISI YA TULIA TRUST YAANZA UJENZI WA NYUMBA YA ELIZA
Na MWANDISHI WETU, MBEYA
Taasisi ya Tulia Trust imeanza ujenzi wa nyumba ya mkazi wa mtaa wa Ilolo kata ya Ruanda Mbeya Mjini, Eliza Yongo Mwaifwani, kupitia mpango wa Tulia Trust Mtaani Kwetu.
Eliza anaishi na familia ya watoto sita katika mazingira magumu na atakabidhiwa nyumba hiyo, mapema Mei mwaka huu.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson.
Tulia Trust imetoka vifaa vya Shule, yakiwemo madaftari na sare za shule, kwa watoto watatu wa familia hiyo ili waendelee na masomo.
TAASISI YA TULIA TRUST YAANZA UJENZI WA NYUMBA YA ELIZA
Reviewed by Gude Media
on
April 22, 2024
Rating:
Reviewed by Gude Media
on
April 22, 2024
Rating:



