RAIS DK.MWINYI ATOA SADAKA YA EID KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU ZANZIBAR






 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, ametoa sadaka ya Eid kwa watu wenye mahitaji maalumu wakiwemo wenye ulemavu, Wazee wasiojiweza, Yatima , Wajane na  Waalimu wa madrasa, Aprili 21,  2023  katika Msikiti wa Jamiu Zinjibari  Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi.