RAIS DK. MWINYI ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI








 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na Waislamu kuswali Swala ya Eid El Fitr katika Msikiti wa Jamiu Zinjibari Mazizini, Aprili 22, Mkoa wa Mjini Magharibi.