RAIS DK. SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DK. NDUGULILE

 


Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, marehemu Dk. Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.