RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO NA WATENDAJI WA MSAJILI WA HAZINA, IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akielekea kwenye Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina, Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina, Ikulu, jijini Dar es Salaam.