RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUMU KUTOA KWA RAIS WA UAE




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan uliowasilishwa na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, alipofika Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na  Balozi wa (UAE) Nchini Tanzania, Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, baada ya kukabidhi Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Muungano wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Zayed Al Nahyan, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.