RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUMU KUTOKA KWA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Waziri Mkuu wa  Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed, uliowasilishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen, aliyeambatana na ujumbe wake,  Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum ambae pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mhe. Demeke Mekonnen, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Mhe. Demeke Mekonnen na Ujumbe wake, Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.