RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MADINI MUHIMU NA MADINI YA KIMKAKATI






 Rais Samia Suluhu Hassan, ashuhudia utiaji saini mikataba baina ya Serikali ya Tanzania na Kampuni tatu za uchimbaji madini muhimu na madini ya kimkakati, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.