RAIS SAMIA AFUNGUA RASMI OFISI YA RAIS IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi Ofisi ya Rais Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, Mei 20, 2023.