RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA VIONGOZI WA SERIKALI KINACHOHUSU KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika  Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, Mei 6, 2023.