KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA TIBA ASILI YA MWAFRIKA MNAZI MMOJA

MENEJA  wa Maabara ya Chakula na Dawa kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dk. Shimo Peter (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa  Kituo ca Tiba Asili cha Immunegentz, kinacho husika na viambato halisi vya asili, Dk.  Michael Magoti, wakati wa Kilele cha  Wiki ya Madhimisho ya Tiba za Asili, Mnazi Mmoja , Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa  Kituo ca Tiba Asili cha Immunegentz, kinacho husika na viambato halisi vya asili, Dk.  Michael Magoti, akiwapa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na kituo hicho.
Mwananchi akipata maelezo kuhusu dawa mbalimbali katika banda la Kituo cha Tiba Asili cha Immunegentz, wakati wa maonyesho hayo.