MWENGE WA UHURU ULIVYOPOKELEWA WILAYANI TEMEKE

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila akimkabidhi Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Mukunda, katika viwanja vya TAZARA, kuanza kukimbizwa wilayani humo.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila (kulia), akizungumza na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa(NEC) ya CCM,  Juma Simba Gadaffi, wakati wa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru,  viwanja vya TAZARA.

MWENGE wa UHURU ukiwasili katika viwanja vya TAZARA kwa kuanza mbio zake Mko wa Dar es Salaam, ukitokea mkoni Pwani.
Viongozi mbalimbali wilayani Temeke, wakisubiri kupokea Mwenge wa Uhuru, katika Viwanja vya TAZARA

 Kikundi cha ngoma za utamaduni, kikiburidisha katika Viwanja vya TAZARA, kabla ya Mwenge wa Uhuru kuanza mbio zake mkoani Dar es Salaam, ukitokea Mkoa wa Pwani.