RAIS SAMIA APOKEA ANDIKO LA OMBI LA TANZANIA, KENYA NA UGANDA KUWA MWENYEJI WA AFCON 2027

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, Mei 24, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Hamis Mwinjuma, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo, Balozi Pindi Chana, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.