RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI IKULU, MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi hao wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo,  13 Juni 2023.