RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA MAOFISA WAKUU WA JESHI LA POLISI, MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA NA VIKOSI



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Makamanda wa Polisi wa Mikoa pamoja na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa Polisi (Police Officer’s Mess) Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Septemba, 2023.