RAIS DK. SAMIA ATENGUA UTEUZI WA MJINJA


 

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengea uteuzi wa Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.

Mjinja atangiwa kazi nyingine.