RAIS DK. SAMIA AWASILI NCHINI NAMIBIA KUHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA NCHI HIYO, DK. GEINGOB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob, tarehe 23 Februari, 2024. Shughuli za Mazishi za Rais huyo Hayati Dkt. Hage Geingob zitafanyika katika Jiji la Windhoek tarehe 24-25 Februari, 2024.
RAIS DK. SAMIA AWASILI NCHINI NAMIBIA KUHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA NCHI HIYO, DK. GEINGOB
Reviewed by Gude Media
on
February 23, 2024
Rating:
Reviewed by Gude Media
on
February 23, 2024
Rating:


