DK. TULIA AFUNGUA MKUTANO WAKE WA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS WA IPU
Mkutano huo unatarajiwa kujadili Dhima Kuu ambayo ni “Matumizi ya Diplomasia ya Kibunge katika kuleta Amani na Maelewano Duniani”. Mkutano huo umehudhuriwa na Maspika wa Mabunge 48 na washiriki zaidi ya 1,500 na unatarajiwa kuhitimishwa tarehe 27 Machi, 2024.
Huu unakuwa Mkutano wake wa kwanza kuufungua tangu achaguliwe kuwa Rais wa IPU katika Uchaguzi uliofanyika Oktoba 27, 2023 nchini Angola.
DK. TULIA AFUNGUA MKUTANO WAKE WA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS WA IPU
Reviewed by Gude Media
on
March 24, 2024
Rating:
Reviewed by Gude Media
on
March 24, 2024
Rating:


