SPIKA DK. TULIA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KATA YA ITEZI, MBEYA MJINI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Itezi Jijini humo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 1 Juni, 2024.
Katika Mkutano huo, Dkt. Tulia amewaeleza Wananchi kuhusu mafanikio yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya sita katika Jimbo hilo ikiwemo uboreshwaji wa sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu kama vile kuanza kwa ujenzi wa barabara ya njia nne pamoja na barabara za mitaa kwa kiwango cha lami.
SPIKA DK. TULIA AZUNGUMZA NA WAKAZI WA KATA YA ITEZI, MBEYA MJINI
Reviewed by Gude Media
on
June 02, 2024
Rating:
Reviewed by Gude Media
on
June 02, 2024
Rating:





