MATUKIO MBALIMBALI YA IBADA YA IJUMAA KUU

Vijana wa KKKT, Azania Front, wakiigiza kuteswa kwa Yesu kanisani hapo, Dar es Salaam.
WAUMINI wa wakibusu msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa  Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk.Alex Malasusa (kulia) na viongozi wa kanisa hilo wakiangalia maigizo ya kuteswa kwa Yesu, katika Kanisa za Azania Front, Dar es salaam

Wakristo wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Kuu Anglikana la Mtakatifu Albano, Dar es Salaam.

Waumini wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam.