RAIS SAMIA AMEKUTANA NA MGENI WAKE RAIS WA RWANDA, PAUL KAGAME, IKULU, DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mazungumzo na mgeni wake Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame,  baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais Kagame amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya Siku 2.