MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA AMEONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI YA CCM, DODOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, Mei 21, 2023.