MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA NEC YA CCM DODOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya  CCM Taifa (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (White House) Makao Makuu Mkoani Dodoma, Mei, 22, 2023.