RAIS SAMIA AZINDUA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam. Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu unatarajiwa kufanyika tarehe 25-26 Julai, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi, Mabalozi na Wageni mbalimbali kutoka Nje ya nchi kabla ya kuzindua Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre (JNICC) Jijini Dar es Salaam.