DK. SLAA AVULIWA HADHI YA UBALOZI

Rais Samia Suluhu Hassan, amemvua hadhi ya Ubalozi Dk. Wilbroad Peter Slaa, kuanzia Septemba 01, 2023.
Dk. Slaa aliteuliwa kuwa balozi Novemba 23, 2017.