JUMUIYA YA SINGA SINGA KUPITIA TAASISI YA SHRI GURU SINGH SABHA NA WANANCHI WAMEJITOLEA KUTOA DAMU KUSAIDIA JAMII

Wananchi wakichangia damu, ikiwa ni kuadhimisha kumbukumbu ya Mungu wa tisa Guru Tegh Bhadur Ji, Jumuiya ya Singa singa, iliyoandaliwa na Taasisi ya Shri Guru Singh, kwa kusaidia jamii, Dar es Salaam.