MAPOKEZI YA M/KITI WA CCM MKOA DAR ES SALAAM, MTEMVU NA MJUMBE WA NEC YA CCM MKOANI HUMO, JUMA SIMBA

Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaa, Adam Ngalawa, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Abbasi Mtemvu na Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya CCM mkoani humo, Juma Simba.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba, akizungumza na wanachama wa CCM, wakati wa mapokezi, CCM Mkoa.


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, akizungumza na wanachama wa CCM.