MGODI WA BARRICK BULYANHULU NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI MIGODINI NA KAZI ZA UJENZI (TAMICO), WASAINI MKABATA WA HALI BORA KAZINI

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Cheick Sangare (kushoto) na Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Migodini na Kazi za Ujenzi (TAMICO), Paternus Rwechungura (katikati), wakitia saini makubaliano ya mkataba wa hali bora kazini katika hafla iliyofanyika katika mgodi wa Bulyanhulu, mkoani Shinyanga. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga.


Viongozi wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, wakiwa na  wafanyakazi na Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Migodini na Kazi za Ujenzi (TAMICO), Paternus Rwechungura, Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga na Kamishna wa Kazi Msaidizi, Andrew Mwalwisi, kutoka ofisi ya waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, baada ya kutia saini Makubaliano ya Mkataba wa Hali Bora Kazini, katika mgodi wa Bulyanhulu, mkoani Shinyanga.