Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi
pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 28 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja naMkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2023.
*************
Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023
walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo
ya ENOC LLC kuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchini.