RAIS SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE MAREHEMU MEMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, marehemu Bernard Kamilius Membe, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam, Mei 14,  2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na waombolezaji kabla ya kuwaongoza kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, marehemu Bernard Kamilius Membe, katika viwanja vya Karimjee.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa pole kwa familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, marehemu Bernard Kamilius Membe, baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.