RAIS SAMIA AMTEUA NA KUMUAPISHA BALOZI SIWA KUWA MKURUGENZI MKUU IDARA YA USALAMA WA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2023.