Aliyekuwa Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Anamringi Issay Macha, akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Vianney K. Mongella, ikiwa ni ishara ya makabidhiano rasmi ya ofisi, katika shughuli iliyofanyika leo Alhamis, Aprili 4, 2024, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam.